Uchumi bora nyumbani
kitabu kinachokusudia kuyapeleka maarifa ya kitaalamu ya kiuchumi katika kila nyumba ya muafrica hasa mtanzania na kutoa nafasi ya kila mwana familia mtoto au mtu mzima ambaye anajua kusoma na kuandika anayapata maarifa haya muhimu na kuwa wakala muhimu wa kuleta mabadiliko na ongezeko la ubora wa uchumi wa nyumbani ambao katika mapana yake hutafsiriwa kama uchumi wa taifa
TSh.2,500