Ni Mwandishi kutoka Umoja wa Waandishi wa Riwaya wenye Dira (UWARIDI) nchini Tanzania. Mbali na riwaya, huandika hadithi fupi, mashairi, tamthiliya, insha na makala katika masuala mbalimbali.