Makundi Ma4 Ya Taarifa Za Kujua Kuhusu Wateja Wako!

1

Tutajifunza: 1. Kuhusu taarifa za wateja 2. Umuhimu wa kujua taarifa za wateja 3. Jinsi ya kukusanya taarifa za wateja

2

Kuwa na taarifa za muhimu kuhusu wateja wako, ita kusaidia kujua mbinu sahihi za kuwafikia wateja, na kuwahudumia ipasavyo. Haya ni makundi ya taarifa mbalimbali za kujua kuhusu wateja wako.

3

1. Taarifa Za Msingi. Hizi taarifa ni kama, majina, namba za simu, muonekano wao nk. Taarifa hizi zinakusaidia kuwafikia wateja, lakini pia kuwatambua wateja wako.

4

2. Taarifa Za Upatikanaji. Hizi ni taarifa juu ya jinsi ambavyo uliwapata wateja hawa. Mf, kupitia utambulisho wa rafiki, kupitia mtandaoni, mpita njia nk.

5

Taarifa hizi zinakuambia sehemu za kuwekeza zaidi ili kupata wateja wengi zaidi. Ukiweza kujua jinsi ambavyo ulimpata mteja wako, ni rahisi zaidi kuongeza nguvu kwenye kupata wateja zaidi kama huyo.

6

57

22

10

2

Comments

Abdillah Mkanga

Tabia ya mawasiliano