Manufaa Ya Kufundisha! ๐Ÿ‘ฉ๐Ÿพโ€๐Ÿซ๐Ÿ‘จ๐Ÿพโ€๐Ÿซ๐Ÿซ

1

Tutajifunza:โœ๐Ÿพ๐Ÿ“ Jinsi ambavyo kufundisha watu wengine kunakusaidia wewe kama mwalimu.

2

Kuna quote niliisikia hivi karibuni kuhusu kufundisha ambayo ilinifanya nianze kutafakari sana kuhusu swala zima la kufundisha. ๐Ÿ“Œ

3

"The teacher is only the best student in the class, he is one week ahead of the rest of the class" -- Scott Galloway

4

"Mwalimu ni mwanafunzi bora tu darasani, anakuwa amesoma vitu vya wiki moja mbele."

5