1
Tutajifunza: 1. Njia kuu 2 za upangaji wa bei za huduma na bidhaa. 2. Athari na Manufaa ya njia hizi. 3. Jinsi za kutumia njia hizi za upangaji wa bei.
2
Kabla hatujaanza, chukua muda kujiuliza maswali haya: - Wewe unaamuaje bei ya bidhaa yako? - Kwanini unatumia njia hiyo kufanya maamuzi ya bei?
3
Haya maswali yanatakiwa kukusaidia kurudi mwanzo na kuwa na tamaa ya kuelewa kwanini mambo yapo hivi yalivyo.
4
Maranyingi ni rahisi sana kufanya vitu kimazoea. Hii inatokea hata kwenye upangaji wa bei za bidhaa na huduma tunazo uza.
5
Ubaya wa kutumia mazoea ni kwamba tunakuwa tunafanya vitu bila kujua fursa iliyopo ya kukua zaidi.
6
Tukichukua muda na kutafakari zaidi kwanini tunafanya mambo kwa njia tunazotumia, tunaweza kuona kwa ndani zaidi kwanini mambo yapo yalivyo.
7
8
4
34
7
Comments