Faida 3 Za Kusoma Sekta Yako!

1

Tutajifunza: 1. Umuhimu wa kuelewa sekta yako. 2. Sababu zinazo pelekea watu kutokusoma sekta zao. 3. Mifano ya waliofanikiwa kwa kuelewa sekta zao.

2

Kati ya mambo ya hatari sana yanayofanyika kwenye biashara mbalimbali ni pale mfanya biashara anapo fanya biashara kwenye sekta ambayo haielewi.

3

Sababu za kuto kusoma sekta yako: - Kufanya biashara kwa mazoea. - Kufuata mkumbo. - Kupata taarifa za uongo.

4

Bahati mbaya zaidi ni kwamba, watu hawa hawafanyi jitihada ya kusoma zaidi kuhusu sekta zao ili kuzielewa zaidi biashara zao.

5