Vipengele Vikuu Vya Taarifa Za Kifedha!

1

Tutajifunza kuhusu umuhimu wa taarifa za kifedha na vipengele vikuu kwenye taarfa za fedha.

2

Tunapowasilisha maendeleo ya biashara zetu , tunawakilisha maendeleo haya kwa namba. Namba hizi zinatuarifu ikiwa biashara zetu zinakua au zinapungua, hivyo hutusaidia kutenda ipasavyo.

3

Namba hizi zinajumuisha kile tunachokiita takwimu/taarifa za kifedha za biashara zetu. Mchakato wa kuandaa na kuwasilisha taarifa hizi kwa utaratibu uliopangwa inaitwa Uhasibu.

4