1
Vijana wengi wanapenda kupata fursa ya kusoma nje ya nchi. Lakini wengi hawajui wapi pa kuanzia. Kuna mananeo mengi ambayo yamesemwa juu ya kusoma nje, na hii imepelekea wengi kufikiria ni ngumu sana.
2
Kwenye somo hili tutajifunza kuhusu mtazamo ambao upo juu kusoma nje ya nchi, lakini pia wapi pa kuanzia ukitaka kusoma nje ya nchi.
3
Kwenye somo hili hatuta ingia sana kwenye faida na hasara za kusoma nje ya nchi kwa sababu kwenye somo la "Faida Na Hasara Za Kusoma Nje Au Ndani Ya Nchi! βππ©πΎβπ" tulipitia zaidi hii maada.
4
Haya, tuanzie kwamba umesha fanya maamuzi kwamba ungependa kwenda kusoma nje ya nchi. Kuna maswali kadhaa ambayo inabidi ujiulize ili kujua njia gani utakayo ichukua.
5
1. Unataka kusoma nini?
6
Kujua kuhusu nini unachotaka kusoma itakusaidia kupunguza orodha ya nchi ambazo unataka kwenda kusoma. Kuna nchi ambazo zinasifika zaidi kwenye masomo fulani, kwa ubora wa elimu wanayo toa.
7
13
2
33
7
Comments