1
Siku hizi, kuwa mjasiriamali imekuwa kama sifa fulani kwenye jamii zetu. Hii imesababisha watu wengi kukimbilia kutaka kuanzisha biashara...
2
Kitu cha kukumbuka kabla ya kwenda kuanzisha biashara yako ni kwamba sio lazima kila mtu awe mfanya biashara.
3
Kuna watu wengi tu ulimwenguni ambao wamefanikiwa maishani kwa kuwa kwenye ajira. Hii imani potofu inayoendelea kwenye jamii yetu kuhusu kujiajiri imepelekea watu wengi kujikuta kwenye sehemu hatarishi.
4
Kuna hatari kama sababu zako za kuanzisha biashara sio sahihi, tuangalie vitu vya kuashiria kwamba sio muda sahihi wa kuanza biashara...
5
1. Unafuata Ushabiki au Mkumbo.
6
6
4
26
6
Comments