1
Tutajifunza: 1. Umuhimu wa Website kwa Biashara. 2. Makosa yanayo fanyika kwenye kutengeneza website. 3. Jinsi ya kuifikiria website yako.
2
Biashara nyingi zina tabia ya kukimbilia kutengeneza website bila kuwa na malengo sahihi.
3
Hii imesababisha website zaidi ya Bilioni 1.5 duniani, kuwa kwenye hali ya kupooza (Inactive).
4
Sababu ya website nyingi kuanza vizuri kisha kuishia kupooza, ziko nyingi, lakini moja ya sababu kuu ni kuto kuwa na malengo sahihi ya kuwa na website.
5
Hizi ni sababu zisizo sahihi za kuwa na website: - Kufuata mkumbo. - Kukamilisha usajili fulani. - Kutaka kuonekana unaenda na wakati.
6
Sababu hizi sio sababu sahihi za kuwa na website kwaajili ya biashara yako.
7
Ili kuwa na website ambayo itasaidia Biashara yako, inabidi kwanza kuelewa umuhimu wa kuwa na website.
8
Website ni kama ofisi yako mtandaoni!
9
10
13
16
3
P
Paul Senni
Karibu sana. Nimefurahi sana kusikia hivyo
D
Double M Perfumes
ππππ Barikiwa sana, najifunza mengi toka kwako.
Comments