Sehemu ya Kwanza - Jinsi ya kuboresha mahusiano na pesa

1

Tutakumbushana yafuatayo: 1. Utangulizi 2. Jinsi Pesa ni kielelezo cha mahusiano 3. Mahusiano yetu ya mwanzo na pesa 4. Jinsi ya kutibu mahusiano mabaya na pesa 5. Boresha mahusiano yako na pesa

2

1. Utangulizi. Umewahi jiuliza pesa ina maana gani kwako. Je ni chombo cha kurahisisha maisha yako? Je ni chombo cha kuwezesha kusaidia wengine? Je ni chombo cha kuwatumikisha wengine? Pesa ni nini?

3