Formula rahisi ya kuandika tangazo la kumvutia mteja.

1

Kuna njia nyingi au formula nyingi kwenye uandishi wa matangazo (copywriting). Tutajifunza formula moja, ambayo binafsi nimekuwa nikiitumia na inaleta matokeo mazuri, kwa kuwavutia wateja kununua.

2

Ifahamu PASOC Formula. Kirefu chake ni "Problem, Agitate, Solve, Outcome, Call to Action" Tuingie kiundani kuijua PAS Formula, na kuona mfano wa tangazo unaotumia formula hii.

3