1
Katika muendelezo wa kumtambua mteja wako, somo hili litaenda kukusaidia kujua tabia 5 ambazo ukizingatia, utaenda kufanikisha mauzo kwa huduma au bidhaa yako. Tafadhali soma kwa makini hadi mwisho.
2
Kila mteja ambaye anatumia huduma au bidhaa yako anaongozwa na saikolojia yenye maamuzi anayoyafanya kila wakati. Katika kuangalia saikologia, yafuatayo ni maeneo mawili unatakiwa kuyaangalia...
3
A: MTEJA ANAHITAJI KUSKILIZWA Jambo la kwanza, mteja analolihitaji kutoka kwako ni kumsikiliza. Anataka aone anachokiongea kinatiliwa maanani na mtoa huduma. kitu kikubwa, apate hisia kuwa unamthamini
4
14
0
19
4
Comments