1
Kwenye kufanya mauzo, kuna mbinu mbalimbali ambazo unaweza kutumia kuhakikisha kwamba unapata uhakika wa kuuza.
2
Moja ya hizi mbinu ni kwa kutumia Sales Funnel. Leo tujifunze maana ya sales funnel.
3
Sales Funnel au chujio la mauzo, ni safari ambayo mteja anapitia mpaka kufikia hatima ya kununua bidhaa au huduma.
4
Sales Funnel ni hatua moja baada ya nyingine, zinazo kuwa zimepangwa kimkakati, ili kumtengenezea mteja mazingira mazuri ya kufanya maamuzi ya kununua.
5
1
3
9
2
Comments