DHANA YA UONGOZI

1

Uongozi ni nini? Aina za uongozi? Sifa za kiongozi!

2

Uongozi Uongozi ni uwezo wa kuijua njia, kuipita njia na kuwa onyesha wengine njia ~ John Maxwell.

3

Uongozi ni uwezo au njia ya kushawishi watu ili waweze kufanya kitu au kufikia lengo fulani la kikundi kwa ridhaa yao wenyewe.

4