Thamani Ya Cheti!

1

Tutajifunza Kuhusu: 1. Mtazamo kuhusu vyeti kwenye jamii yetu. 2. Kwanini vyeti vinatumika. 3. Umuhimu wa vyeti.

2

Kwenye ulimwengu tunaoishi leo vyeti kwenye sekta ya elimu vimeanza kama kidharauliwa.

3

Watu wengi watakuambia kwamba vyeti havina thamani yotote leo. Watu watatoa mifano kwamba hata Google hawaangaliagi vyeti vyako.

4

Lakini kwenye somo hili ningependa tuangalie kwanini vyeti huwa vinatumika kwenye sehemu mbalimbali za ajira. Pia kuelewa zaidi umuhimu wake na jinsi ambavyo wewe kama mwanafunzi unatakiwa kuvitazama vyeti.

5

Kwa kuanzia, ni muhimu kuelewa kwamba cheti haki wakilishi Utu wako!

6