1
Tutajifunza; 1. Umuhimu wa kuelewa mazingira ya misemo mbalimbali. 2. Misemo tofauti zinazo hisishwa na biashara. 3. Tahadhari za kuchukua kwenye misemo mbalimbali ya biashara.
2
Kuna misemo kadhaa ambayo inabidi kuwa makini nayo kwenye biashara. Mara nyingine hali halisi ya hizi misemo ni tofauti na jinsi tunavyoishia kuitumia kwneye biashara zetu.
3
1. Kizuri Cha Jiuza, Kibaya Cha Jitembeza!
4
Kuna ambao wanaamini wakiisha pata Bidhaa au Huduma 'Bora', basi ni sawa kukaa tu na kusubiria wateja.
5
Hapa utakuta mfanya biashara anaacha kabisa kutafuta masoko, na kuongeza mauzo akiamini kwamba kwa sababu anachouza kina ubora, basi wateja watakuja tu!
6
2. Mteja Mfalme!
7
Kuna wafanya biashara ambao wamefika sehemu ya kuamini kwamba mteja ni mfalme, basi kila kitu watakacho hitaji, inabidi wafanyiwe.
8
Hii inapelekea wauzaji kufika sehemu za kuuza kwa hasara wakiamini kwamba ni bora kumridhisha mteja, badala ya kunufaisha biashara zao.
9
1
4
16
3
Comments