JINSI YA KUMTAMBUA MTEJA WAKO KUPITIA SAIKOLOJIA YAKE.

1

CHAPTER 1: Katika sehemu hii ya kwanza utaenda kujifunza hatua 6 za kufuata ili mteja anunue bidhaa au huduma yako "Huduma maalum inayomlenga mteja maalum, ndio inaongoza kwa mauzo kuliko kawaida"...

2

1. Kutambua changamoto ya mteja (uliza kwa kina) Mteja hupenda sana kupata tumaini la kutatua shida yake moja kwa moja. Na jambo la msingi kwa mtoa huduma/bidhaa ni kutambua mteja wake anashida gani.

3