Aina Kuu 3 Za Biashara!

1

Tutajifunza; 1. Tofauti kati ya biashara mbalimbali 2. Mahitaji ya biashara za aina tofauti

2

Kwenye kuanzisha biashara ni muhimu kujua aina gani ya biashara unatakiwa kuanzisha na kuelewa vigezo mbalimbali ambavyo vinaendana na aina hio.

3

Zifuatazo ni aina kuu 3 za biahsara ambazo unaweza kuanzisha kwa mujibu wa sheria.

4

1. Sole Proprietorship (Mtu Binafsi) Hii ni biashara inayo anzishwa na mtu binafsi. Hapa Namba ya Mlipa kodi (TIN) huwa ina tumiwa ile ya mtu binafsi anaye taka kuanzisha biashara hio, na kubadilishwa kuwa TIN ya biashara.

5

Ain hii ya biashara maranyingi hujihusisha na biashara ndogongo. Pale Biashara inapokuwa kubra, inashauriwa zaidi biashara ihamie kuwa kampuni.

6

Muhimu pia kuzingatia kwamba kwenye aina hii ya biashara, assets na liabilities za biashara hazitofautishwi na zile za mmiliki wa biashara hio.

7