1
Kila bishara inagawanyika kweye maeneo mbalimbali. Mgawanyiko huu unabadilika kutokana na aina ya biashara, lakini kuna maeneo haya ma3 ambayo kila biashara inakuwa nayo.
2
1. Mauzo na Masoko (Marketing & Sales) Hii ni sehemu ya biashara inayojishughulisha na harakati zote zinazohusika kwenye kuelewa soko la bidhaa au huduma inayotolewa, na kufikisha kwa mteja.
3
2. Utawala (Administration) Hii ni sehemu ya biashara ambayo inahusika na usimamizi wa shughuli mbalimbali zinazoendelea kwenye biashara. Hii inahusisha Rasilimali Watu (Human Resources), Fedha, Sheria (Legal Compliance) nk.
4
3. Operations Hapa ndipo shughuli za biashara husika zinafanyika. Sehemu hii inahusisha uzalishaji, usambazaji, utafiti wa kuboresha huduma au bidhaa nk.
5
20
8
8
1
M
Margreth Temu
Insightful. Thank you
Comments