1
Nilianza kudizaini makava ya kitabu mwaka 2018 nilipoanza kufanya kazi na DL Bookstore. Kadiri siku zinaenda nayaona mabadiliko kwenye tasnia ya uandishi wa vitabu Tanzania, kwani nashuhudia jinsi
2
waandishi wanavyopata “titles” kali za vitabu vyao na wanajaribu vile wanaweza kuandika vitabu bora pia. Nimekuja kugundua baadaye kwamba baadhi ya waandishi wanaochipukia na hata
3
17
0
13
3
Comments