1
Tutajifunza:π©πΎβππ¨πΎβπ 1. Maana ya Brand.π¦ 2. Maana ya Logo.π© 3. Umuhimu wa Brand na Logo. 4. Tofauti zilizopo kati ya Brand na Logo.
2
Kwenye kuendesha biashara au mradi wako, utakuwa umeshawahi kujikuta unakumbana na maneno haya ya Logo na Brand.
3
Ukiwauliza watu tofauti tofauti maana ya haya maneno, tunaona kwamba majibu yanayo toka kwa watu yanatofautiana.
4
Mara nyingine, watu watakuambia kwamba maneno haya hayana tofauti yoyote.π΅π
5
Kuna umuhimu wa kuelewa tofauti kati ya Logo yako na Brand yako, kwa sababu bila kuzielewa utashindwa kuzitumia kuboresha biashara, au mradi wako.π¨πΎβπ«
6
Tuanze kwa kuangalia maana ya haya maneno ili kupata uelewa wa kina zaidi wa tofauti zilizopo, na athari zake kwenye matumizi yake.
7
11
7
31
7
Comments