Je, wajua wawezapatwa na Sonona-ugonjwa wa akili kwa urahisi

1

Sonona(Major Depressive Disorder)ni ugonjwa wa akili unaowapata watu wengi Tanzania na duniani.Ukiwa na dalili angalau 5(kati ya zitakazoelezewa)kwa wiki 2 tu karibu kila siku-Muone msaikolojia haraka

2

Makala hii itabeba, maana, dalili, visababishi na jinsi ya kufanya kujitunza wakati au kabla ya kupata ugonjwa huu wa sonona.

3

Sonona inachangia vifo vingi vya watu kukatisha maisha yao pindi wanapoona hakuna msaada wa yale wanayoyapitia. Sonona ni ugonjwa unaoathiri watu zaidi ya milioni 264 duniani.

4