1
Tutajifunza: 1. Sehemu mbalimbali za kazi ya Social Media Manager. 2. Vifaa vinavyo tumika. 3. Jinsi ya kutumia vifaa hivyo.
2
Social media manager ana kazi nyingi. Ili kutekeleza majuku yake ya kusimama kurasa za social media za wateja wake, kuna vitu vinginambavyo anahitaji kufanya.
3
Miongoni mwa hizi kazi kuna: - Kupangilia taarifa za wateja. - Kupangilia Content - Kutengeneza Content - Kusimamia kurasa (kupost, kucomment, nk) - Matangazo mtandaoni.
4
Kwenye somo hili tutaangalia hizi sehemu, moja baada ya nyingine na ku angalia vifaa vinavyo weza kutumika kurahisisha kazi.
5
Comments