Sehemu 4 Tunakopatia Content Idea Za Kupost!

1

Watu kadhaa wamekuwa wana tuuliza jinsi ambavyo tunapata idea mbalimbali za post zetu.

2

Kutengeneza content ambazo zita wagusa walengwa sio rahisi, inahitaji kuwa makini na malengo yako. Lengo kuu ambalo tunatumia ni kwenye 'Kushirikishana Ujuzi na Fursa'. Na hivi ndivyo tunavyo pata idea za content zetu.

3

1. Kwenye Tulio Yapitia (Experiences) Kwenye kushirikishana ujuzi, kuna mambo mengi ambayo kama biashara tunayapitia. Hua tunahisi kuna watakao nufaika kuyajua haya, hivyo tunatengeneza content kutoka kwenye mambo ambayo tumeyapitia.

4

2. Kwenye Brand Yetu Brand yetu inamamapo mebgi ambayo tunapenda kuwashirikisha watu. Vitu ambavyo tumefanya, vitu ambavyo tunapanga kufanya nk.

5