Hatua 5 Za Kuandaa Mada/somo Lenye Mvuto Kwa Wasomaji Wengi

1

Wengi katiya wanao andaa mada mtandaoni wanapata changamoto ya kukosa wasomaji au matokeo kwa mada zao. Kwa dakika chake, utaenda kujifunza hatua sahihi za kuandaa mada yenye athari kwa walengwa wako.

2

1. KICHWA CHA HABARI CHENYE UMAKINI (Attention Heading) Hatua ya kwanza kufahamu ni jinsi ya kuandaa kichwa cha habari/somo, na ili heading iwe nzuri zaidi izungumzie "utatuzi wa changamoto fulani".

3

Mfano: "JINSI YA KUONDOA KITAMBI BILA YA KUFANYA ZOEZI KWA MUDA MREFU" au "JINSI YA KUEPUKA MADENI MWAKA MPYA 2023" au "HABARI YA KUFURAHISHA KWA KINA MAMA WALIOTOKA KUJIFUNGUA n.k ...

4