KWANINI MAHUSIANO MENGI SAHIHI HUVUNJIKIA NJIANI

1

Utajifunza, kama uko kwenye mahusiano KUDUMU na kama yalivunjika KUYAREJESHA.

2

Ninaamini kwamba mahusiano mengi sana huwa ni sahihi mpaka yanapoingiliwa na uharibifu wa wahusika. Kwa bahati mbaya, wanaoanzisha ndio huyavunja pia, hii ni ajabu sana. Iwe ni hiari au la.

3