1
Tutajifunza📝; 1. Maana na 'Masoko'. 2. Tofauti kati ya masoko mbalimbali. 3. Faida na Hasara za masoko mbalimbali.
2
Kwa mujibu wa waandishi, Chan Kim & Renée Mauborgne kitabu cha Blue Ocean Strategy📚, kuna aina tatu kuu za masoko.
3
1️⃣ Soko Lililopo (Existing Market). Hili ni soko ambalo tayari lipo kwenye jamii. Biashara ambazo zipo kwenye soko hili, zinakuwa zinajua tayari kuhusu bidhaa ambazo zipo kwenye soko hili.
4
Soko hili ni soko lililo komaa tayari.
5
1
9
22
5
Comments