EPUKA UHARAKATI KWENYE IDEA YAKO YA STARTUP

1

Tupige story kuhusu kuchanganya activism/uharakati na startup. 1. Ntashare namna ya kutambua uharakati kwenye biashara/startup. 2. Ntashare namna ya kuuepuka uharakati kwenye biashara/startup.

2

Je unaweza kuelezea idea ya startup yako ndani ya tweet moja na ukapata mteja?

3

Idea nzuri inaweza kuelezeka kwa mteja ndani ya maneno 50, kwa sababu idea nzuri ni rahisi kueleweka. Idea ya startup inatakiwa ieleweke kirahisi kwa watu kwa sababu inatoka kwa watu hao.

4

Usifanye Uharakati/stop being an activist on your idea. Yaani usitegemee kubwabwaja kuhusu madhara ya soda mwilini yatafanya watu wanunue juice yako ya moto.

5

Mwaka 2017 nilikuwa kati ya waanzilishi wa Startup moja tuliita Choraga. An online shops advertising platform, hapo ndiyo nilijifunza umuhimu wa kuwasikiliza wateja kabla ya kudevelop solution.

6

Ndugu yangu, niliamini Startup siyo wewe kuwaconvice watu kuhusu a certain social change. Otherwise watanunua bidhaa yako kukuunga mkono tu siyo kwa uhitaji.

7