Mama Vs Baba Na Magonjwa Ya Akili & Changamoto Za Kisaikolojia!

1

Itakusikitisha kusoma hii na kujifunza kwamba kuteteleka kwa afya yako ya akili ukiwa mtoto had mtu mzima, inaweza kutegemea mama alipitia hatua zipi kabla na wakati wa mimba, kujifungua, malezi na makuzi

2

Tukiacha na matatizo, magonjwa, changamoto binafsi za Afya Ya Akili kwa mama, kuna mizigo mingine anabebeshwa kwasababu tu kuwa mwanamke ambayo anahathirika kisaikolojia, Afya Ya mAkili yake na katka uzao wake

3

Mfano kukosekana kwa usawa wa kijinsia, athari za kitamaduni, shinikizo la jamii, matarajio, maadili ya jamii yanayokengeuka kila kukicha, hayo ni mazingira magumu kwa mwanamke kwa afya yake ya akili.

4