Makosa Ma5 Kwenye Kuanzisha Biashara!

1

Tutajifunza; 1. Takwimu kuhusu biashara zinazo anzishwa. 2. Changamoto kwenye kuanzisha biashara. 3. Jinsi ya kuepuka makosa kwenye kuanzisha biashara.

2

Kuna tafiti ilifanyika kuhusu maisha ya biashara ndogo ndogo, majibu yaliyo toka yalionyesha kwamba 98% za biashara zinakufa ndani mwaka mmoja baada ya kuanzishwa.

3

Kuna changamoto nyingi ambazo Biashara mpya zinakumbana nazo. Lakini pia kuna makosa ambayo waanzilishi hufanya wakati wa kuanzisha biashara ambayo yanasababisha biashara hizi kupitia changamoto hizo.

4

Haya ni baadhi ya makosa yanayo fanyika wakati wa kuanzisha biashara hizi.

5