Saikolojia ya msomaji anaponunua kitabu

1

Kuuza kitabu ni ujuzi ambao kila mwandishi anapaswa awe nao. Mafanikio ya mwandishi kwa kiasi kikubwa tunayapima kwa kuangalia mwandishi ameuza nakala ngapi.

2

Ikiwa mwandishi atafeli kuuza kitabu chake, asilimia za kukata tamaa kuendelea na uandishi wa kitabu kinachofuata ni nyingi. Hivyo basi, kuwa na ujuzi wa kuuza kitabu ni muhimu sana.

3