Jinsi gani biashara inaweza kuongeza faida ya ushindani!

1

Malengo ya biashara ni kukuwa (Expand), kuishi kwa muda mrefu (Survive), kuongeza faida (profit) na kuongeza mauzo (Sales maximization). Hivi vyote vinaweza kufikiwa ikiwa biashara itaongeza ushindani

2

Tutaona 1. Maana ya ushindani 2. Maana ya faida ya ushindani (Competitive Advantage) 3. Mikakati ya kuongeza faida ya ushindani 4. Faida kuu ya kuwa na faida ya ushindani.

3

Ushindani wa biashara. Ushindani ni hali ambayo biashara inajaribu kuwa na mafanikio zaidi kuliko biashara nyingine kwa njia mbali mbali ambazo zinafanya biashara hiyo kuwa na faida kubwa kuliko wastani wa sokoni

4

36

3

18

4

Comments

David Raphael Fedrick

Thank you Edna Kimaro. Asante sana. Asante Paul Seni. Asante sana

Paul Senni

Agreed, I love the approach, makes things easy to understand. Maana content kama hii ya competitive advantage inaweza isiwe as obvious to some people...nimependa jinsi alivyoiweka. Thank you David

Edna Kimaro

Good course very insightful