1
Kuna mambo mengi yanayo endelea maishani mwetu kila siku. Na kwenye yote haya ni rahisi kujisahau kutathmini safari ya maisha. Haya ni maswali ya kukusaidia kujitathmini.
2
1. Mimi ni Nani? Badala ya kuishia kujibu swali hili kwa kusema tu jina lako, angalia namna mbalimbali za kujitambulisha. Utaona kuna njia nyingi zaidi za kujua utambulisho wako.
3
2. Nimetoka wapi? Jibu la swali hili lisiishie tu kwenye sehemu uliyozaliwa, au wazazi wako walipo, angalia kwa mtazamo wakimaisha pia. Umetokawapi kimaisha, kifikra, kitamaduni, kiuchumi, nk.
4
3. Ninaenda wapi maishani? Kama ilivyokuwa kwenye ulikotoka, vivyo hivyo, angalia unakoelekea. Jiulize kama unajua unakotaka kwenda na kama mambo unayofanya yanakusogeza unakotaka kufika.
5
3
8
1
Comments