1
Tutajifunza Kuhusu:📓 1. Majukumu ya Mjasiriamali. 2. Changamoto kwenye kutimiza majukumu yako. 3. Jinsi ya kutimiza majukumu hayo.
2
Kama mjasirimali, kuna majukumu mengi ambayo inabidi kuyatimiza siku hadi siku.
3
Mara nyingine unaweza jikuta unamajukumu mengi mpaka unashindwa kuweka vipaumbele amabyo vinatakiwa kuweza kukusaidia kufanya maamuzi juu ya jinsi ya kutumia muda wako.
4
Mjasiriamali ukishindwa kupangilia vizuri muda wako na majukumu yako, basi athari zake zitaonekana kwenye biashara yako.
5
Kuna dodoso lilifanyika kwa wakurugenzi wa kampuni mbalimbali zinazo fanikiwa.
6
5
2
25
5
Comments